Mauaji ya Wahutu wakati wa Vita vya Kwanza vya Kongo inahusu mauaji ya watu wengi Wanyarwanda, Wakongo, na Wahutu wa Burundi, wakiwemo wanawake, na watoto, katika vijiji na kambi za wakimbizi kisha kuwindwa wakati wakikimbia katika eneo la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kuanzia Oktoba 1996 hadi Mei 1997.[1] Inakadiriwa watu 200,000 - 230,000 waliuawa.[2][3][4][5]
{{cite journal}}
: Check date values in: |date=
(help)
© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search